KISWAHILI

  

IDARA YA KISWAHILI

Idara hii inaongozwa na Bw Haggai na ina walimu saba.

1.      Bw. Haggai Oyugi - Mkuu wa idara

2.      Bw. Thomas Mainda

3.      Bw. Edward Songa

4.      Bw. Jackson Maranga

5.      Bw. Kalulu Bwaringa

6.      Bw. Paul Motuka

7.      Bw. Fred Makori

Idara ina walimu sita walioajiriwa na tume ya kuajiri walimu (T.S.C) na mmoja ameajiriwa na almashauri ya shule.

Matokeo ya mtihani wa kitaifa yameendelea kunawiri kutoka mwaka mmoja hadi mwingine.

 

MSS

2006

2007

2008

2009

2010

 

8.2214

9.0751

7.3434

8.134

8.3216

  

Tatizo kuu ni kuwa na walimu wachache kwa mfano sita kwa wanafunzi 1200.

Wanafunzi hawana motisha ya kusoma Kiswahili na wameathiriwa na sheng’.

Maono yaliyo kwa sasa ni walimu kuwa wakakamavu na kuwapa wanagenzi motisha ya kusoma Kiswahili na kuwashirikishsa watahiniwa kikamilifu katika shuguli zote za kuboresha Kiswahili shuleni.

                                    MKUU WA IDARA

                                                BW. HAGGAI

DEPUTY PRINCIPALíS DESK

 

 DEPUTY PRINCIPAL’S DESK.

 RICHARD MISIANI DEPUTY  ACADEMICS   It gives us great …

read more

LIST OF TEACHERS

THE LIST OF TEACHERS AS OF APRIL 2016

TT. NO.

NAME

1

GERALD NYANG’WARA (PRINCIPAL)

2

RICHARD MOSOKU …

read more